Aaaah...kweli ni furaha sana. hapa kati ni Bw.& Bi.harusi jackson laizier na Nancy wanjara katika pozi la la kiharusi wakiwa na masister, Caroline laizer na sarah laizer upande wa kushoto mwa photo unazozitiza na kulia ni Shemeji yangu. Capt.R.R.wanjara. jamaani hapo ni saluuuuuti.