SWALA la msingi ni tuwewastaarabu, haya sasa hawa wamezitundika wamezidiwa sasa wanaanza kushusha mambo adharani, ni maeneo ya hapa BONGO tu wa c mbali
Mshiriki Kutoka Tanzania kwenye mashindano ya BIG BROTHER AFRICA Bi.elizaberth jumapili iliyopita alitolewa katika mashindano hayo yanayofanyika huko BONDENI (SOUTH AFRIKA).Sasa sijui kama atakuja kutangaza TBC1 kwenye VUNA VUNA.