Kaka katoka mbali sana tokea enzi zile za mimi Mmsai bwana na sasa anatamba na kibao chake cha boda boda go, mimi mdogo wako nakutakia kila kheri. ila mo-kweli vipi mbona kimya sana
Hapa ni Naibu Katibu wa idara ya Utumishi Afya ndani ya Tume ya Utumishi wa Umma, Wajumbe, Secretariat na Makatibu wa Afya wa mikoa na wilaya pamoja na wadau wa Afya, tukiwa kwenye kikao chetu Dear Mama hotel-Dom.
Hapa ni kijana wako laizer alipoitimu katika chuo cha Elimu ya Biashara CBE miaka ya 2004, kijana Hans Mwenda naye alikuwepo katika kiapo hicho cha kula shahada, utamcheki kwa chini