Thursday, September 2, 2010

Rais wa Tz, Dr.Kikwete akipanda miti


kama tulivyomuona baba wa taifa Mwl.j.k.Nyerere akiwa kwenye shughuli za ujenzi wa taifa naye Dr. JK afuta nyayo zake, kwa kupanda miti

Baba wa taifa Mwl.Nyerere kwenye shulighuli za ujenzi wa Taifa




hapa tuna muona Baba wa Taifa akijituma katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa taifa ikiwa katika zoezi la upandaji wa miti upasuaji wa kuni na kubeba mawe kwa ajilia ya hujenzi wa shule.

Mambo ya Wachina



Jamani madent na madada zetu kwani tatizo ni nini? sasa hii cbalaa, amna cha hips wa nini.