kaka huyu jamaa anaitawa tito niliwai kukutana naye kwenye mambo yetu ya jioni, hapo shekilango maeneo ya ROMBO GREEN VIEW tukikandamiza mchemsho, ndiyo akaja na sera yeye ni nabii weeeeeeeee ni ilicheka sana na kuanza kusema mambo hayo hapo kwenye vipeperushi amevianisha
kama kawaida watumishi wakipeana udaku kuhusu majumu ya ofisi yetu, ha ha...kutoka kushoto ni Rimoy, kati ni Bi.Wellu, na kulia ni Mzee mzima Rugarabamu
Hapo ni mr.jackson na mr's nancy jackson tukiwa kwenye sherehe za kupongezwa na wafanyakazi wenzetu, pindi tuliporudi kutokea Arusha, mara baada ya kumaliza harusi huko A_Town, wakao c vizuri vijana bila ya kuwakaribisha kwa sherehe ilyofanyika sinza.