Ni siku ya furaha sana, kwanza MUNGU Mwenyezi yote kuweza kutufikisha siku ya ya tarehe 25/07/2009, na kutuwezesha mimi Mr.jackson laizer na Mr's Nancy jackson kuwa kitu kimoja na mwili mmoja, hapo chini pozi la bwana harusi pamoja na bibi harusi maeneo ya ofisi ya mkuu wa mkoa-Arusha.ilikua ni tarehe 25/07/2009. Baada ya hapo tulisonga mbele hadi maeneo ya CCM-Mkoa kwa ajili ya makamuzi ya siku hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mpwa karibu sana kwenye hili Libeneke,tukaze mwendo katika kuifanya Dunia kama Kijiji
ReplyDelete