Thursday, November 26, 2009

Beyonce anapofumaniwa na Paparazi






Watu wabaya sana yaani camera za mapaparazi ni sooo..unamcheki hapo juu kifaa cha Jay'z walivyoo mphoto dem wake, kweli watu wako makini sana na kazi zao....hadi maaeneo ya tukio au sitting room kwa jay'z watu wamezama...aaaadaaah!

1 comment:

  1. Kaka hao hawapo Ulaya tu,hata Bongo wapo ukitembea flies wazi vijana wa Shigongo wakikuotea kesho yake lazima ujikute kwenye Kiu au Ijumaa,tofauti ni kwamba wataziba pale H.Q tu wakiogopa kufungiwa lkn sehemu nyingine watazianika kama kawaida.

    ReplyDelete