Monday, November 16, 2009

Miundombinu ya Ulaya vipi


Kumbe tatizo la miundombinu mibovu nihadi ulaya, haya cheki kwa dada huyo anavyoangaika baada la gari lake kukwama na matope, sasa sisi wabongo tutawashauri nini? wakati kwetu yametushinda tena hadi ndani ya majiji kama Dar es salaam, Mwanza na hata home Arusha. ni tatizo kweli. mvua ya Dk 10 ni issue je ya siku mbili utamkuta kweli binadamu yupo hai au mfuu. ni hayo kutoka kwa laizer

No comments:

Post a Comment