Friday, November 13, 2009

MSHIRIKI WA TZ KWENYE BBA-OUT

Mshiriki Kutoka Tanzania kwenye mashindano ya BIG BROTHER AFRICA Bi.elizaberth jumapili iliyopita alitolewa katika mashindano hayo yanayofanyika huko BONDENI (SOUTH AFRIKA).Sasa sijui kama atakuja kutangaza TBC1 kwenye VUNA VUNA.

No comments:

Post a Comment