Friday, March 19, 2010

Kitambo Kidogo-Mr&Mrs.J.A.Laizer

Hapa tunakumbushia mambo yetu yalivyofana huko A-Town

jackee! akiwa kwenye shughuli

Mzee laizer akiwa kwenye sherehe za kiserikali, hapo jamaa wananitizama nikifanya mambo ya misosi

mambo ya x-mass

Johnson Jackson anauza sura mamtoni

kama kawaida yake joy akiwa kwenye mabango akiuza sura

JOHNSON JACKSON-ANAWAELEKEZA MADOGO

Hapa ni johnson akiwa kwenye media akitoa maujumbe kwa madogo wenzie....mama yake naye alikuwa akimsiliza kwa makini


hapa ni mshikaji wangu na mfanyakazi mwezetu alipoondokana na ukapera na kujiunga kwenye chama cha ndoa kama laizer alivyofanya hapo nyuma kidogo. ni Mr.Martin & Mr's vanesa, ilikuwa ni tarehe, 12/12/2009 na baadaye sherehe ilifanyika katika ukumbi wa LANDMARK mzee rugarabamu hongera sana

mshikaji na mpenzi wake!

khatibu!


hans nadhani unamfahamu sana huyu mshikaji, cheki mambo yake kwasasa

Thursday, March 18, 2010

TOTO TUNDU

http://udadisi.blogspot.com/2010/03/call-for-action-in-north-mara-gold-mine.html


Dear Colleagues and partners,

Greetings from North Mara in Tarime.

I wish to share with you some photos of the current situation in North Mara. Rev. Magafu and I have been assessing and identifying the victims of the last year’s and ongoing waste ponds spillage at North Mara gold mine.

New cases of the victims are coming up with symptoms that are vivid and the situation is alarming. Two cases, though, needs immediate medical attention and action. This involves Mama Otaigo from Weigita village and Paul (8 year old boy) from Nkerege village.

The situation we have found them in is far different from when we met them during the health screening done in January 7th 2010. Their health state is deteriorating from day to day. I am attaching their current photos for your review.

As the governments still remains silent on this matter attempts to get referral letters from government health facilities have proved abortive and therefore we need to act as soon as possible to save the lives of those who are critically ill.

An appeal is made to all of you to act in your different capacities.

Kind regards,

mpwa!

dah! maisha haya!


no comment, jioneee mwenyewe

barnaba

wrong number

ATM


mambo yamekuwa magumu jamaa anakandamiza kwanza ATM ndiyo masuala mengine yafuate

kujiegesha usiku ni popote




jamani kama ninyi mnasehemu pa kulala kila siku shukuru Mungu maana kuna watu wengine kwao ni tatizo, ikifika usiku anajitafutia street anajikandamiza kausingizi

Maajabu kutoka india



This Octo Boy from india has his own twins in his wombs. well it's really weird, maybe this is the first case in the medical history of the twins in the wombs. Kumar Paswan has a difference with the other boys in his ages. Kumar Paswan has his twins inside his wombs. but unfortunately the miraculous twins that lays on Kumar's Wombs has stopped developing,


To some in his remote Indian village he is a living version of India's multi-limbed God Lakshmi and worshipped every day as holy. To others eight-year-old Kumar Paswan is a monster, is stoned on sight and forced to hide away his astonishing medical condition. But all the tragic youngster wants is to be normal and has launched an appeal for the thousands of pounds needed for an operation to remove his parasitic twin.


The twin stopped developing in the womb before it separated fully from Kumar and has left him with seven limbs. "When he was born the doctors said he wouldn't live long but here he is and apart from how he looks he is very healthy," said his dad Veeresh Paswan, of Bihar, eastern India. "I am tired of being different. I just want to live normally," added the youngster.


These photos are of eight year old Kumar Paswan from a remote Indian village who has an astonishing medical condition. He was born with a parasitic twin. The twin stopped developing in the womb before it separated fully from Kumar and has left him with seven limbs. He has launched an appeal for the thousands of pounds needed for an operation to remove the parasite.........

Monday, March 15, 2010

Monday, March 8, 2010

AINA MPYA YA VITI MWANA

KIBAKA KAMAMANIWA


MR.LAIZER
Huyu ni kibaka aliyekutwa akifungua kioo cha gari yangu karibu na chuo cha ustawi wa Jamii barabara ya shekilango. Alikuwa akijifanya anaokota chupa za maji zilizotumika. Akiwa ana bisi mpya mbili za bei mbaya.

Picha na habari imetumwa na Crisele Prompador

TOTO " NAOMI ANASAKWA NA MWERA!


Mwanamitindo maarufu ulimwenguni,Naomi Campbell,yaelekea akaingia matatani tena kwani hivi sasa polisi wa jijini New York nchini Marekani,wanamsaka!

Naomi,ambaye mwaka jana alitua nchini Tanzania na kushiriki katika onyesho la hisani kwa ajili ya akina mama, safari hii anatafutwa akikabiliwa na shutuma za kumchapa vibao dereva wake huko New York.

Mwanamitindo huyo ambaye inasemekana ni mpenda ugomvi sio mgeni na vyombo vya usalama.Siku za nyuma amekwisha kutwa na hatia ya kumpiga mfanyakazi wake wa ndani jijini New York, kumpa kibano msaidizi wake jijini Toronto na pia kumwangushia kisago polisi ndani ya ndege katika uwanja wa ndege wa Heathrow jijini London.Katika makosa yote hayo hapo juu,Naomi alikiri makosa yake na alihukumiwa kufanya kazi za kijamii(community services) kwa masaa zaidi ya 200.Kazi kweli kweli.Hivi kwanini kuna baadhi ya watu huwa wanadhani wanayo haki ya kuwaadhibisha watu wengine kiholela tu?Ni matunzo,jamii au?

NB:Hivi unajua Naomi Campbell alipokuwa mdogo alishiriki katika video ya Mfalme wa Reggae,Bob Marley katika wimbo One Love? Mtizame katika video hiyo hapo chini.Alikuwa na umri wa miaka 7 tu na hiyo ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kuwa katika spotlight.

Sunday, March 7, 2010

wanaharakati






Posted by Jide at 1:54 AM 4 comments
3.03.2010
PUNGUA KWA SIKU 7...DIET YA MATUNDA NA MBOGA MBOGA
Kwa watu wanaotaka kupungua kwa muda mfupi kuna diet naifahamu ambayo nita share na nyinyi. Ni ngumu sana siwezi kusema ni rahisi kwahiyo unapoianza uwe umejipanga hasa na kuvumilia. Na ukiharibu hata siku moja inabidi urudi mwanzo uanze upya.
Hakuna cha kwamba ume cheat halafu kanyaga twende unaendelea
Hiyo itakuwa unajiibia mwenyewe...ni ya siku 7 tu na unaweza kuirudia mpaka pale utakapoona umepungua vya kutosha.


Siku ya Kwanza: Asubuhi unakunywa kikombe cha kahawa na kijiko kimoja tu cha sukari
Mchana: Unakula mtunda tu, kula matunda ya aina yoyote kasoro ndizi
Unaruhusiwa kula hata kikapu kizima ukitaka ila jitahidi kula matunda ya rangi mbali mbali na usiku hali kadhalika. kumbuka ndizi haziruhusiwi
Pia hakikisha unakunywa maji kwa wingi sana.

Siku ya pili: Asubuhi ni kikombe cha kahawa na kijiko kimoja cha sukari na kiazi cha kuchemsha
Mchana na usiku ni mboga mboga za aina zote utakazotaka ila jitahidi kuzipika bila mafuta kabisa ukishindwa weka kijiko kimoja tu cha mafuta
Maji kila wakati kwa wingi kuaznia asubuhi hadi unaingia kitandani


Siku ya Tatu: Asubuhi kikombe cha kahawa kama mwanzo, Mchana ni matunda na mboga, hali kadhalika usiku ni matunda na mboga na maji kwa wingi. Matunda ya aina zozote kasoro ndizi


Siku ya Nne: Asubuhi kikombe cha kahawa,..Wali na Mboga mboga mchana, Usiku unakunywa bakuli kubwa la supu ya mboga mboga na maji mengi

Siku ya Tano: Asubuhi kikombe cha kahawa, Kwa muda uliobaki wa mchana hadi usiku unakunywa maziwa Glass 3 zilizojaa vizuri na Ndizi mbivu 8. Usisahau kunywa maji mengi sana


Siku ya Sita: Asubuhi kikombe cha kahawa, mchana na usiku unakula wali na nyanya mbichi. Idadi ya nyanya inatakiwa iwe 6, yaani 3 mchana na 3 usiku. Unaweza kuzikamulia hata ndimu na kuweka chumvi kidogo ukadondoshea na ka kitunguu ikawa kama kachumbari ili isikinaishe mdomoni, manake kula nyanya mbichi napo yataka moyo


Siku ya Saba: Asubuhi kikombe cha kahawa, Mchana na usiku unakula wali na mboga mboga na juice fresh na maji ya kutosha


Kumbuka siku zote unazotakiwa kula wali, pima kisizidi kikombe kimoja na ukiweka mafuta yasizidi kijiko kimoja, usije ukapima mchele vikombe vinne utaua bendi.
Diet haiendi hivyo


Baada ya hapo unaweza kupumzika siku 3 halafu ukarudia tena, ila hizo siku unazopumzika jitahidi kukwepa vyakula vya wanga na mafuta, na ule kiasi kidogo sana cha chakula.
Ukifanikiwa usisite kunijulisha, ukikwama pia utaniambia. Kuna diet ya red snapper tu peke yake na karot huenda hiyo ikawa nafuu ila ni ya siku 13




Posted by Jide at 6:31 AM 39 comments
UNATAKIWA UENDE NA MCHUMBA KWA SONARA UKAJICHAGULIE PETE?? AU UNATAKIWA URIDHIKE NA SUPRISE UTAKAYOLETEWA HATA KAMA NI NDOGO NA SIO YA BEI??





Nimeulizwa swali eti mtu ukiwa unachumbiwa kabla mchumba hajakuvisha pete unatakiwa uende nae dukani kujichagulia au unatakiwa uridhike na yoyote atakayo kuletea.


E-mail niliopokea leo, ni mtu analalamika kuwa pete alioletewa ni mbaya na hajaipenda lakini anajisikia vibaya kumwambia mpezi wake kuwa hakuipenda hiyo pete.
Sababu alizozitoa ni kwamba pete yenyewe ni ndogo sana anaona haina thamani ya kuwekwa kidoleni kwake.
Anasema ni nyembamba sana na inaonekana ni ya bei nafuu.......Labda alitaka kubwa kama ya kwenye picha ya kwanza hapo juu


Lakini kwa mtazamo wangu naona mapenzi sio thamani ya pete, maadam yule aliekupenda kakutunuku na pengine uwezo au taste yake ni hiyo.
Sasa nikaona hivi mtu unatakiwa uende na mwenzio kwa sonara ili ukajichagulie pete ya uchumba au hata ya ndoa unayoitaka wewe au ukubali chochote utakachonunuliwa.
Nitafanya jitihada za kutafuta baadhi ya wasichana waliochumbiwa au hata kuolewa wanipe mitazamo yao na jinsi gani walichukulia walipoona pete zao kwa mara ya kwanza.


Na mimi nitawaambia ya kwangu