Baba wa taifa Mwl.Nyerere kwenye shulighuli za ujenzi wa Taifa
hapa tuna muona Baba wa Taifa akijituma katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa taifa ikiwa katika zoezi la upandaji wa miti upasuaji wa kuni na kubeba mawe kwa ajilia ya hujenzi wa shule.
No comments:
Post a Comment