Thursday, January 27, 2011

Anslem Mwenda Ug..mambo ya skonga


kipindi hicho ukipiga picha lazima uonyeshe tukio fulani..ndipo utamgundua huyu ni msela au sharobaro...sasa hapa jichekie mwenyewe

1 comment:

  1. Acha kabisa kaka,U can easily notice of by then mizuka ya Masela,ni kipindi kimoja chakukumbukwa sana katika maisha ya kila mmoja aliyeyapitia

    ReplyDelete