Monday, June 6, 2011
SNOOP DOGG AMUENZI NATE DOGG KWA KUJICHORA TATTOO YENYE SURA YAKE
Miongoni mwa mambo yaliyojiri weekend hii ni pamoja na mazishi ya mwanamuziki mkongwe wa Hip Hop,Nate Dogg,aliyefariki mapema wiki jana.
Lakini kabla ya kwenda kwenye mazishi ya star huyo yaliyofanyikia huko Long Beach,California,baadhi ya marafiki zake na washirika katika masuala ya muziki walifanya mambo mbalimbali ili kumuenzi.
Katika yote,lilikamata hisia za wengi na hususani vyombo vya habari ni kile alichofanya Rapper Snoop Dogg.Yeye alijichora tattoo yenye sura ya Nate Dogg ikiambatana na maneno “All Doggs Go To Heaven”. Tatto hiyo ilichorwa na tattoo artist anayekubalika sana maeneo ya Long Beach, Mister Cartoon.
Read more: GLOBAL CELEBRITY NEWS & ENTERTAINMENT - BongoCelebrity
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment