Monday, December 19, 2011

JACKSON & NANCY GRADUATION 2011 -T.I.A





NI GRADUATION YA TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (TIA) 4 ADVANCE DIPLOMA IN ACCOUNTANCY ILIYOFANYIKA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM TAREHE 17/12/2011

2 comments:

  1. Kaka hongera sana,hongereni sana jamani,mana'ke kwa wale tunaoelewa ukiona mtu ametundika Joho pamoja na kofia yake moja kwa moja unapata hisia ya kazi nzito aliyoifanya mtu kwa kipindi kisichopungua miaka mi'3.
    Ni safari nzito yenye milima na mabonde ambayo mtu kufika mwisho wake ni baada ya ku'toil si kitoto.
    Big up kwa familia nzima ya Mr and Mrs J.Laizeeer

    ReplyDelete
  2. nashukuru sana Anslem

    ReplyDelete