Thursday, December 24, 2009
Tuesday, December 22, 2009
Mambo ya harusi-A'Town
hapa ni Capt. na Jide walipoanza mahusiano
Monday, December 7, 2009
Thursday, November 26, 2009
"NDANI YA NYUMBA"NAKO II NAKO
Sijawahi kupata nafasi ya kufanya nao mahojiano ili kujua kwa kina maana au chanzo cha jina Nako 2 Nako.Pamoja na hayo,wengi wanawakubali na kwa mambo mbalimbali,yakiwemo binafsi,wameshagonga vichwa vya habari mara kwa mara. Walianzia A-Town/City kabla ya kuweka kambi jijini Dar.
Hivi karibuni wamefyatua kitu kipya.Wimbo unaitwa Ndani ya Nyumba ambao kutokana na Producer wake,Hermy B(kutoka B’Hitz Music) ni wimbo wa kustarehesha zaidi kuliko kuelimisha au vitu kama hivyo.
Kitu ambacho kimekuwa kikinivutia kutoka Nako2Nako ni aina yao ya kughani.Ina utofauti fulani hivi ambao kimsingi ni muhimu.Nimewahi kusisitiza katika “kijiwe” fulani kwamba kama mtu anataka kupata mafanikio fulani katika chochote anachotaka kukifanya,ni muhimu akawa “mbunifu”.Kwenye muziki hali ni hiyo hiyo.Lazima utoke tofauti.La sivyo,watu watakusikiliza na kukuacha solemba haraka iwezekanavyo.Huna jipya.
Wasikilize Nako2Nako katika Ndani ya Nyumba
Nakaaya vp Nawe mbona tEEEEEh!
NO WORDS REQUIRED
Beyonce anapofumaniwa na Paparazi
Tuesday, November 24, 2009
Mara Tunasikia mmechana mara mmerudiana VP?
TENGA AKOMALIWA NA MKUBWA WA NCHI
TENGA RAIS WA TFF UNATAKIWA KUFUTA MAAGIZO YA MKUBWA OOOOH! MAANA KAMAINDI KISHEZI, FANYA MAMBO FASTER ILI MKUU AYAONE,HIVI MAJUZI KAKA ALIMWELEZA RAIS WA TFF KUACHA KUANGALIA MASLAHI BINAFSI NASASA KUTENGENEZA JIPAJI KWA VIJANA PIA KULEGEZA MASHARTI KATIKA SOKA HASA KWENYE SWALA KUFUNGIWA KWA WACHEZEZAJI ANASEMA KWAMBA NI MSHUSHIA KIWANGO MCHEZAJI UNAPOMFUNGUNGI MIEZI SITA. PIA KAAMBIA KILA CLUB KUANZISHA VIPAJI VICHANGA KUKUZWA KWENYE KILA CLUB CHA PREMIUM HAPA BONGO, SASA KAZI KWAKO KAKA KWA SIMBA NA YANGA KWANZA.
Subscribe to:
Posts (Atom)