Tuesday, November 24, 2009
Mara Tunasikia mmechana mara mmerudiana VP?
ha..ha ..ha..ha, hapa ni kati ya LOrd eyes na ray c, mara unasikia wameachana mara wapo pamoja au wanatuzuga, ili kusikilizi wabongo wanasema nini. kama vp mtangaze tu ndoa kama ile ya Mpwa Mwisho... mkafanyie Nigeria, ila kwenye kazi lord eyes yupo juu sana hata Dem wake. poa ni hayo tu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment