Monday, November 23, 2009
LIVERPOOL VP TENA MBONA TUNASUASUA
KWA WALE WAPENZI WA SOCCER KAMA MIMI JAMANI NINAULIZA TATIZO LA LIVER NI NINI AU KOCHA... AU MFUMO MZIMA....AU NIUPEPO MMBAYA TU, ANYAWAY TUSIKAKATE TAMAA JANA TUMETOA TENA DROOO NA MAN CITY HIVYO TUTAFIKA NA KESHO TAREHE 24/11 TUNAPIGA CLUB BINGWA...TUTATOKA KWELI?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kaka mmefulia,Liverpool mwaka huu ni kama Yanga...wenzenu wamebadirisha kocha na nyinyi badirisheni
ReplyDeleteYah! ni wazo la busara sana, ila watu bado wanaimani na kocha....anyway ngoja tuvute subira japo juzi tumeshinda kwenye uefa lakini wazungu wasema 2late
ReplyDelete