Monday, November 23, 2009

BUSTA RHYMES NDANI YA FIESTA BONGO '09


WABONGO BWANA WASEMA ETI MCHIZI AJAPAFOM FRESH KAMA WABONGO WALIVYOKAMUA, WEEEE MPWA NI KWELI

2 comments:

  1. Hivi Fiesta ya Dar imeshapigwa enh?
    Sina hata habari mimi nipo Vijijini huku natumika.
    Kwa mimi sina comment ksbb sikuhudhuria hiyo show yake hata hivyo kwa ninavyomfahamu Mzee mzima Buster siamini kama Wabongo waliweza kumfunika.

    ReplyDelete
  2. Dah! jamaa buster ameshafanya mambo ila wabongo kama kawaida wanachonga wanasema pafomec ni ya kawaida sana, kaka mwendowa fiester ni mwendo wa mbeya kwasasa.

    ReplyDelete