Tuesday, November 24, 2009

Sasa hii ni bustani au shamba?


Kama ni bustani basi nadhani itakuwa maeneo ya kiluvya..Lazima nimuulize Hans mwenda anaweza akanipatiajibu kamili, maana c mchezo mahindi ndani ya bustani, alafu bustani yenyewe aina mpangilio wowote.

1 comment:

  1. Hii Mpwa lazima itakuwa ni kutoka kule Tanga ilipokuwa maskani wakati unasaka elimu CBE Dom,si unaona mwenyewe love sign hiyo na watu wa kule wanasifika sana katika fani hii.

    ReplyDelete