Wednesday, October 13, 2010

MR.II ATIA FORA KWENYE MDAHALO WA UCHUKUZI MKUU MBEYA


Mgombea ubunge wa jimbo la Mbeya mjini kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Joseph Mbilinyi a.k.a MR.II akiingia ndani ya ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya kwa ajili ya kushiriki mdahalo ulioandaliwa na asasi za kiraia mkoa wa Mbeya (MBENGONET) kwa ufadhili wa asasi za kiraia Tanzania,huku akishangiliwa kwa nguvu sana

No comments:

Post a Comment