Monday, December 19, 2011

JACKSON & NANCY GRADUATION 2011 -T.I.A





NI GRADUATION YA TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (TIA) 4 ADVANCE DIPLOMA IN ACCOUNTANCY ILIYOFANYIKA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM TAREHE 17/12/2011

Tuesday, June 14, 2011

IBRAAA! DAH! KWELI SIKU HAZIGANDI


MSHIKAJI TULIKAMUA NAYE CBE DOM EENZI HIZO ZA KINA CHUCHU...

NANI ABEBE LAWAMA FUNDI CHEREHANI AU MVAAJI


DAH! YEYE ANAONA POA TU KWELI NEXT LEVEL

Monday, June 6, 2011

NICKI MINAJ ON KING MAGAZINE COVER


Jarida la King la nchini Marekani katika issue yao ya mwezi March/April 2011,aliyepo juu ni mwanadada Nicki Minaj ambaye hivi sasa yupo juu katika game la Hip Hop nchini Marekani hususani kwa upande wa kina dada.Ndani ya jarida hilo,Nicki Minaj anaongelea mambo kadhaa ikiwemo uwezekano wa yeye kuingia katika masuala ya filamu.Pia alipoulizwa kuhusu aina ya mwanaume ambaye anamtaka…alisema…zaidi lisubiri jarida la King mwezi March/April..

Classic film. You did mention earlier how everything has been time consuming. But when that time frees up, what kind of guy do you look for to be sentimental and organic with?
Um, I look for someone who is calm, someone who is strong enough to not have to win every argument, someone who allows a woman to be her crazy self and someone with a conscience not to feel less of a man. You know, someone who is able to honor his woman but also bring out the freak in his woman.

MAKING OF “GONE” BY NELLY AND KELLY





When you talk about Nelly and Kelly as a duo,lots of folks still remember them for the collaboration Dilemma. Who didn’t dance or at least try sing that song in the shower?

Now as you are aware,Kelly and Nelly are attempting a comeback together again with the song Gone from Nelly’s album titled 5.0. Here are some of the images from the video shoot of Gone done recently in Cancun,Mexico. From the steamy scenes as portrayed in these photos,I can’t wait for the video!



Read more: GLOBAL CELEBRITY NEWS & ENTERTAINMENT - BongoCelebrity

NICKI MINAJ:HATARI LAKINI SALAMA






Kuna swali au maswali;Hivi haya makalio ya huyu binti ni ya kweli au ya kubandikiza?

SNOOP DOGG AMUENZI NATE DOGG KWA KUJICHORA TATTOO YENYE SURA YAKE



Miongoni mwa mambo yaliyojiri weekend hii ni pamoja na mazishi ya mwanamuziki mkongwe wa Hip Hop,Nate Dogg,aliyefariki mapema wiki jana.

Lakini kabla ya kwenda kwenye mazishi ya star huyo yaliyofanyikia huko Long Beach,California,baadhi ya marafiki zake na washirika katika masuala ya muziki walifanya mambo mbalimbali ili kumuenzi.

Katika yote,lilikamata hisia za wengi na hususani vyombo vya habari ni kile alichofanya Rapper Snoop Dogg.Yeye alijichora tattoo yenye sura ya Nate Dogg ikiambatana na maneno “All Doggs Go To Heaven”. Tatto hiyo ilichorwa na tattoo artist anayekubalika sana maeneo ya Long Beach, Mister Cartoon.



Read more: GLOBAL CELEBRITY NEWS & ENTERTAINMENT - BongoCelebrity

Thursday, January 27, 2011

UNAMJUA DOGO JANJA HUYU HAPA!


NI JOHNSON JACKSON, ANAKUPA BIG UP

ILI GAZETI LIUZEEE ANDIKA HV!

MMMMH!, haya ndiyo mavazi ya kuogelea


take simple 2..ha..ha

jackee & nancy


NI siku ya harusi ya the above names....kushoto ni Sarah..anayefuatia ni Caroh Laizer, then Jackson, Nancy & shem..capt.R.R.Wanjara

Anslem Mwenda Ug..mambo ya skonga


kipindi hicho ukipiga picha lazima uonyeshe tukio fulani..ndipo utamgundua huyu ni msela au sharobaro...sasa hapa jichekie mwenyewe

jackee mambo ya chuo cbe