Thursday, December 24, 2009

Baada ya kuona mambo hayapo sawasawa


hapa toto tundu kaamua kujipigia FEGI ili akili iwe sawa

mambo ya x-mass- kaona isiwe tabu


wazazi wametoka Out yeye afanye nini ni kujilipua tu

Tuesday, December 22, 2009

Mambo ya harusi-A'Town


Aaaah...kweli ni furaha sana. hapa kati ni Bw.& Bi.harusi jackson laizier na Nancy wanjara katika pozi la la kiharusi wakiwa na masister, Caroline laizer na sarah laizer upande wa kushoto mwa photo unazozitiza na kulia ni Shemeji yangu. Capt.R.R.wanjara. jamaani hapo ni saluuuuuti.

wacheki kwa sasa


hapa ni Capt. na Jide walipoanza mahusiano


pich hii imenifurahisha sana ebu mcheki gadner na jide walivyokuwa na sasa wako vipi hapa anasema ni miaka minne tu ya nyuma.

ponda raha mama-maana cheque ya dunia ulipewa wewe

Chukua gwara mpwa_Obama


hapa Mr.Presidaah! akimpa tano mshiKAJI WAKE YAANI-gwara 4 the people

Monday, December 7, 2009