Tuesday, April 20, 2010

Nabiii tito nusii

Nabiii tito ni soo

Nabiii tito ni soo



haya soma mambo ya nabii titto...je wewe utasadiki...

Manabii hawa ni soo!


kaka huyu jamaa anaitawa tito niliwai kukutana naye kwenye mambo yetu ya jioni, hapo shekilango maeneo ya ROMBO GREEN VIEW tukikandamiza mchemsho, ndiyo akaja na sera yeye ni nabii weeeeeeeee ni ilicheka sana na kuanza kusema mambo hayo hapo kwenye vipeperushi amevianisha