Thursday, November 26, 2009

"NDANI YA NYUMBA"NAKO II NAKO


Sijawahi kupata nafasi ya kufanya nao mahojiano ili kujua kwa kina maana au chanzo cha jina Nako 2 Nako.Pamoja na hayo,wengi wanawakubali na kwa mambo mbalimbali,yakiwemo binafsi,wameshagonga vichwa vya habari mara kwa mara. Walianzia A-Town/City kabla ya kuweka kambi jijini Dar.

Hivi karibuni wamefyatua kitu kipya.Wimbo unaitwa Ndani ya Nyumba ambao kutokana na Producer wake,Hermy B(kutoka B’Hitz Music) ni wimbo wa kustarehesha zaidi kuliko kuelimisha au vitu kama hivyo.

Kitu ambacho kimekuwa kikinivutia kutoka Nako2Nako ni aina yao ya kughani.Ina utofauti fulani hivi ambao kimsingi ni muhimu.Nimewahi kusisitiza katika “kijiwe” fulani kwamba kama mtu anataka kupata mafanikio fulani katika chochote anachotaka kukifanya,ni muhimu akawa “mbunifu”.Kwenye muziki hali ni hiyo hiyo.Lazima utoke tofauti.La sivyo,watu watakusikiliza na kukuacha solemba haraka iwezekanavyo.Huna jipya.

Wasikilize Nako2Nako katika Ndani ya Nyumba

Obama-check-Out-Girl!

Unafikiri mchezo....kaka anacheki Taaaarabu mtoto alivyojaaaaliwa mashalaaH!

Nakaaya vp Nawe mbona tEEEEEh!


binti wa kimeru vp tena mambo ya music umetambaa nini maana ckuizi mtu akiona amekushaaa unasikia ninastaafu music..aaah! wakati hata albamu una...unastaafu na single ...kuweni makini

Mambo ya soccer hapa Bongo

Mambo ya figger-Kajaaliwa

hapo pia ninamwachi hans..aa comment

NO WORDS REQUIRED






It doesn't matter how many people you send this to, just do
remember, if it made you smile, your friends will smile too!




"Life is not the way it's supposed to be.. It's the way it is..
The way we cope with it, is what makes the difference.

Beyonce anapofumaniwa na Paparazi






Watu wabaya sana yaani camera za mapaparazi ni sooo..unamcheki hapo juu kifaa cha Jay'z walivyoo mphoto dem wake, kweli watu wako makini sana na kazi zao....hadi maaeneo ya tukio au sitting room kwa jay'z watu wamezama...aaaadaaah!