Thursday, October 22, 2009

Mr.Ebbo na Boda Boda Go!


Kaka katoka mbali sana tokea enzi zile za mimi Mmsai bwana na sasa anatamba na kibao chake cha boda boda go, mimi mdogo wako nakutakia kila kheri. ila mo-kweli vipi mbona kimya sana

LAIZER & ANSLEM GRADUATION CBE-2004


Hapa kijana wako laizer na Anslem akibadilishana mawazo baada ya kula gamba.

Makatibu wa Afya na wadau wa idara ya Afya-Dom


Hapa ni Naibu Katibu wa idara ya Utumishi Afya ndani ya Tume ya Utumishi wa Umma, Wajumbe, Secretariat na Makatibu wa Afya wa mikoa na wilaya pamoja na wadau wa Afya, tukiwa kwenye kikao chetu Dear Mama hotel-Dom.

Johnson Jackson ndani ya furaha!


Hapa ni Johnson Jackson akionekana ni mtoto mwenye furaha ni baada ya kukandamiza menu ya kutosha

Mr jackson laizer alipoitimu CBE


Hapa ni kijana wako laizer alipoitimu katika chuo cha Elimu ya Biashara CBE miaka ya 2004, kijana Hans Mwenda naye alikuwepo katika kiapo hicho cha kula shahada, utamcheki kwa chini

Monday, October 5, 2009

Washiriki kutoka lindi wakiwa na mhasibu


Hapa ni baada ya kumaliza kikao chetu, wajumbe wote walishiriki kwenye fare and well yetu. kila mmoja wetu walifurahi sana.

Mr laizer akiwa Dom-dear mama hotel.


hapa ni kikao cha idara kilicho fanyika Dodoma, kwenye hotel ya Dear mama, wa kwanza kulia ni mr laizer, wa pili(kati) ni Mama killo na wa tatuni Mama Kizinga, kwa kweli ilpendeza sana., hapo ni mpwa wako laizer akiweka mahesabu sawa kwa ajili ya malipo kwa washiriki.