Wednesday, October 13, 2010

HAPA BAADA YA MDAHALO YUPO NA WASHIKAJI


Wapenzi na mashabiki wa msanii Joseph Mbilinyi a.k.a MR II na wale wa chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) jijini Mbeya wakiwa wamemzunguka msanii huyu nje ya ukumbi wa Mkapa baada ya kutoka kushiriki mdahalo wa wagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini

No comments:

Post a Comment